Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 3:5-6

Wakolosai 3:5-6 BHN

Basi, ueni chochote kilicho ndani yenu ambacho ni cha kidunia: Uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu). Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 3:5-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha