Matendo 27:35-36
Matendo 27:35-36 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kusema hivyo, Paulo alichukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega, akaanza kula. Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:35-36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alipokwisha kusema hayo akatwaa mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote akaumega akaanza kula. Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe.
Shirikisha
Soma Matendo 27