1 Timotheo 2:11-13
1 Timotheo 2:11-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza. Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Maana Adamu aliumbwa kwanza, halafu Hawa.
1 Timotheo 2:11-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe msikivu. Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.
1 Timotheo 2:11-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.