Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 2:11-13

1 Timotheo 2:11-13 NEN

Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha