1 Samueli 17:10-11
1 Samueli 17:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mfilisti huyo aliendelea kusema kwa majivuno, “Nawataka wanajeshi wa Israeli siku hii kumtoa mtu mmoja aje kupigana nami.” Shauli pamoja na wanajeshi wote wa Israeli walipoyasikia maneno hayo ya Mfilisti huyo, walifadhaika na kuogopa sana.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yule Mfilisti akasema, Nayatukana leo majeshi ya Israeli; nipeni mtu tupigane. Basi Sauli na Israeli wote waliposikia maneno hayo ya Mfilisti, wakafadhaika na kuogopa sana.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 17