1 Wafalme 6:24
1 Wafalme 6:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila bawa lilikuwa na urefu wa mita 2.5; kwa hiyo urefu kutoka ncha ya bawa moja mpaka ncha ya bawa lingine ulikuwa mita 4.5.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 61 Wafalme 6:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na bawa moja la kerubi lilikuwa mikono mitano urefu wake, na bawa la pili la kerubi mikono mitano; mikono kumi toka mwisho wa bawa moja hata mwisho wa bawa la pili.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 6