Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 6:24

1 Wafalme 6:24 NEN

Bawa moja la kerubi wa kwanza lilikuwa na urefu wa dhiraa tano na bawa jingine dhiraa tano, hivyo urefu kutoka ncha ya bawa moja hadi ncha ya bawa jingine ulikuwa dhiraa kumi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 6:24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha