1 Wafalme 6:16
1 Wafalme 6:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Chumba cha ndani, kilichoitwa mahali patakatifu sana, kilijengwa katika sehemu ya nyuma ya nyumba. Kilikuwa kimejengwa kwa mbao za mierezi kutoka sakafuni hadi darini, na urefu wake ulikuwa mita 9.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 61 Wafalme 6:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akajenga mikono ishirini pande za nyuma za nyumba toka chini hata juu kwa mbao za mwerezi; naam, ndani akaijengea chumba cha ndani, yaani, patakatifu pa patakatifu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 6