Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 6:16

1 Wafalme 6:16 BHN

Chumba cha ndani, kilichoitwa mahali patakatifu sana, kilijengwa katika sehemu ya nyuma ya nyumba. Kilikuwa kimejengwa kwa mbao za mierezi kutoka sakafuni hadi darini, na urefu wake ulikuwa mita 9.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 6:16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha