1 Mambo ya Nyakati 24:20-21
1 Mambo ya Nyakati 24:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawa ndio wazawa wengine wa Lawi: Mmoja wa wazawa wa Amramu alikuwa Shubaeli; wa Shubaeli alikuwa Yedeya. Mmoja wa wazawa wa Rehabia alikuwa Ishio kiongozi wa ukoo.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 241 Mambo ya Nyakati 24:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wa wana wa Lawi, waliosalia; wa wana wa Amramu, Shebueli; wa wana wa Shebueli, Yedeya. Wa Rehabia; wa wana wa Rehabia, Ishia mkuu wao.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 24