Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Nyakati 24:20-21

1 Nyakati 24:20-21 NEN

Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki: Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli; kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya. Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe: Ishia alikuwa wa kwanza.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Nyakati 24:20-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha