Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 118:24-25

Zaburi 118:24-25 SRUV

Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia. Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.

Soma Zaburi 118

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 118:24-25

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha