Zaburi 118:24-25
Zaburi 118:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu; tushangilie na kufurahi. Tafadhali utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu! Tafadhali utufanikishe, ee Mwenyezi-Mungu!
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia. Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:24-25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia. Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.
Shirikisha
Soma Zaburi 118