Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:17-18

Mathayo 7:17-18 SRUV

Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

Soma Mathayo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha