Mathayo 7:17-18
Mathayo 7:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mti mzuri huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
Shirikisha
Soma Mathayo 7