Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 30:15-16

Kumbukumbu la Torati 30:15-16 SRUV

Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya; kwa hivi nikuagizavyo leo kumpenda BWANA, Mungu wako, kuenenda katika njia zake, na kushika maagizo yake, na amri zake, na hukumu zake, upate kuwa hai na kuongezeka; BWANA, Mungu wako, apate kukubarikia katika nchi uingiayo kuimiliki.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Torati 30:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha