Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:26-27

Matendo 27:26-27 SRUV

Lakini hatuna budi kupwelewa katika kisiwa kimoja. Hata usiku wa kumi na nne ulipofika, tulipokuwa tukichukuliwa huku na huko katika bahari ya Adria, kama usiku wa manane baharia wakadhani ya kuwa wanaikaribia nchi kavu.

Soma Matendo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 27:26-27

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha