Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 6:37-38

1 Wafalme 6:37-38 SRUV

Katika mwaka wa nne nyumba ya BWANA ilitiwa msingi, katika mwezi wa Zivu. Na katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, kulingana na kanuni zote. Basi muda wa miaka saba alikuwa katika kuijenga.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 6:37-38

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha