Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Mambo ya Nyakati 24:30-31

1 Mambo ya Nyakati 24:30-31 SRUV

Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata koo za baba zao. Hao nao wakapigiwa kura vile vile, kama ndugu zao wana wa Haruni, machoni pa Daudi mfalme, na Sadoki, na Ahimeleki, na wakuu wa koo za baba za makuhani na za Walawi; koo za baba za mkuu, vile vile kama za nduguye mdogo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Mambo ya Nyakati 24:30-31

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha