Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 102:25-28

Zab 102:25-28 SUV

Hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako. Hizi zitaharibika, bali Wewe utadumu Naam, hizi zitachakaa kama nguo; Na kama mavazi utazibadilisha, Nazo zitabadilika. Lakini Wewe U Yeye yule; Na miaka yako haitakoma. Wana wa watumishi wako watakaa, Na wazao wao wataimarishwa mbele zako.

Soma Zab 102

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha