Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 2:8-13

Mit 2:8-13 SUV

Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake. Ndipo utakapofahamu haki na hukumu, Na adili, na kila njia njema. Maana hekima itaingia moyoni mwako, Na maarifa yatakupendeza nafsi yako; Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi. Ili kukuokoa na njia ya uovu, Na watu wanenao yaliyopotoka; Watu waziachao njia za unyofu, Ili kuziendea njia za giza

Soma Mit 2

Verse Images for Mit 2:8-13

Mit 2:8-13 - Apate kuyalinda mapito ya hukumu,
Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.
Ndipo utakapofahamu haki na hukumu,
Na adili, na kila njia njema.
Maana hekima itaingia moyoni mwako,
Na maarifa yatakupendeza nafsi yako;
Busara itakulinda;
Ufahamu utakuhifadhi.
Ili kukuokoa na njia ya uovu,
Na watu wanenao yaliyopotoka;
Watu waziachao njia za unyofu,
Ili kuziendea njia za gizaMit 2:8-13 - Apate kuyalinda mapito ya hukumu,
Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.
Ndipo utakapofahamu haki na hukumu,
Na adili, na kila njia njema.
Maana hekima itaingia moyoni mwako,
Na maarifa yatakupendeza nafsi yako;
Busara itakulinda;
Ufahamu utakuhifadhi.
Ili kukuokoa na njia ya uovu,
Na watu wanenao yaliyopotoka;
Watu waziachao njia za unyofu,
Ili kuziendea njia za giza

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 2:8-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha