Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 23:36-37

Yer 23:36-37 SUV

Na mzigo wa BWANA hamtautaja tena; maana neno la kila mtu ndilo litakalokuwa mzigo wake; maana ninyi mmeyapotosha maneno ya Mungu aliye hai, ya BWANA wa majeshi, Mungu wetu. Nawe utamwambia nabii hivi, BWANA amekujibu nini? Na, BWANA amesemaje?

Soma Yer 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yer 23:36-37

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha