Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 23:34-35

Yer 23:34-35 SUV

Na katika habari ya nabii, na kuhani, na watu, watakaosema, Mzigo wa BWANA, mimi nitamwadhibu mtu yule, na nyumba yake. Mtasema hivi kila mtu na jirani yake, na kila mtu na ndugu yake, BWANA amejibu mtu? Na, BWANA amesemaje?

Soma Yer 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yer 23:34-35

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha