Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 29:1-2

Zaburi 29:1-2 NEN

Mpeni BWANA, enyi mashujaa, mpeni BWANA utukufu na nguvu. Mpeni BWANA utukufu unaostahili jina lake; mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 29:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha