Zaburi 119:113-114
Zaburi 119:113-114 NEN
Ninachukia watu wa nia mbili, lakini ninapenda sheria yako. Wewe ni kimbilio langu na ngao yangu, nimeweka tumaini langu katika neno lako.