Zaburi 119:113-114
Zaburi 119:113-114 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawachukia watu wanafiki, lakini naipenda sheria yako. Wewe ni ngao yangu, kwako napata usalama; naweka tumaini langu katika neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:113-114 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wa kusitasita nawachukia, Lakini sheria yako naipenda. Ndiwe sitara yangu na ngao yangu, Neno lako nimelingojea.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:113-114 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Watu wa kusita-sita nawachukia, Lakini sheria yako naipenda. Ndiwe sitara yangu na ngao yangu, Neno lako nimelingojea.
Shirikisha
Soma Zaburi 119