Zaburi 119:105-106
Zaburi 119:105-106 NEN
Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga katika njia yangu. Nimeapa na nimethibitisha, kwamba nitafuata sheria zako za haki.