Zaburi 119:105-106
Zaburi 119:105-106 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno lako ni taa ya kuniongoza, na mwanga katika njia yangu. Nimeapa na kuthibitisha kiapo changu, kwamba nitashika maagizo yako adili.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:105-106 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. Nimeapa nami nikathibitisha, Kuzishika hukumu zako za haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:105-106 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. Nimeapa nami nitaifikiliza, Kuzishika hukumu za haki yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119