Mithali 31:26-27
Mithali 31:26-27 NEN
Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake. Huangalia mambo ya nyumbani mwake wala hali chakula cha uvivu.