Methali 31:26-27
Methali 31:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Hufungua kinywa kunena kwa hekima, huwashauri wengine kwa wema. Huchunguza yote yanayofanyika nyumbani mwake, kamwe hakai bure hata kidogo.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:26-27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
Shirikisha
Soma Methali 31