Mithali 31:24-25
Mithali 31:24-25 NEN
Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo.