Methali 31:24-25
Methali 31:24-25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi. Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
Shirikisha
Soma Methali 31