Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 30:15-16

Kumbukumbu 30:15-16 NEN

Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizo. Ninakuamuru leo kwamba umpende BWANA Mungu wako, utembee katika njia zake, na kutunza maagizo yake, amri na sheria zake; ndipo utakapoishi na kuongezeka, naye BWANA Mungu wako atakubariki katika nchi unayoingia kuimiliki.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 30:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha