Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 2:16-17

1 Petro 2:16-17 NEN

Ishini kama watu huru, lakini msitumie uhuru wenu kama kisingizio cha kutenda uovu, bali ishini kama watumishi wa Mungu. Mheshimuni kila mtu ipasavyo: Wapendeni jamaa ya ndugu waumini, mcheni Mungu, mpeni heshima mfalme.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 2:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha