1 Petro 2:16-17
1 Petro 2:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu. Waheshimuni watu wote, wapendeni ndugu zenu waamini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya, bali kama watumwa wa Mungu. Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:16-17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya, bali kama watumwa wa Mungu. Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2