Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

KutakaMfano

The Quest

SIKU 1 YA 7

Ni katika mwendo tuko hapa. Hebu fikiria upo katika safari ndefu na mtu ambapo sheria za safari ziliwekwa ili kuwa na uhuru wa mazungumzo ili mradi hakuna atauliza maswali. Zungumza mpaka ulimi ukauke lakini hakuna maswali. Hata yale ya msingi kama " Unajisikiaje?" Au " Unasikia njaa?", Mnaweza kuwa na maneno ya kubadilishana ni sawa kwa muda, lakini baadaye mnakuwa hakuna kuzungumza tena kati yenu. Mtakuwa kila mmoja anamsikiliza mwenzake. Hayo siyo mazungumzo. Hiyo ni lugha ya ukali kwa mwenzako. Baada ya ukali huo hata wasikilizaji wazuri wanaacha kusikiliza.



Labda kama desturi imetuvuta katika kutembea tukiwa usingizini, kutembea na Mungu ni kutaka. Na kutaka si kutaka bila maswali. Kipengele cha kuulizana hakuna kinapopendeza zaidi ya katika uhusiano na Mungu. Kwa wanaoanza, hatujibu kwa sauti au haandiki mawinguni kama tunavyotamani afanye tukimuuliza swali. Hata hivyo, ameandika kwenye maandiko majibu mengi kuliko tunavyoweza kuyapokea maishani. 



Tuna maswali matano ya kimungu ambayo, tukijaribu kuyajibu, yana uwezo wa kutufanya upya na kuchochea kutembea na Mungu kulikokwenda nje ya mstari, kukwama kwenye tope, kukosa msukumo, au mvuto. Anza leo kukariri maswali haya. Yaweke ndani zaidi akilini mwako ili uweze kuyakumbuka hata kwenye ndoto zako. Mawili ya mwanzo yanaulizwa na Mungu Baba, na matatu ya mwisho yanaulizwa na Yesu mwanawe. Mengine yana herufi kurahisisha kukumbuka.



“Uko wapi?” (Mwanzo 3:9)



“Ni nani aliyekuambia?” (Mwanzo 3:11)



“Mnatafuta nini?” (Yohana 1:38)



“Mbona mmekuwa waoga?” (Matthew 8:26)



“Hata zidi sana ... ?” (Luke 11:13)*



Japo utakutana na maswali mengi katika njia uiendeayo, kwa kujibu haya matano yataweka msingi ambao unaweza kuangalia kwa kumbukumbu na tathmini.



Siku chache zijazo zitatawaliwa na maswali haya. Ndiyo hayo.



Athari za matembezi haya hazitazidi ukweli wako. Yatakwenda ndani zaidi kwa kadri ulivyo mkweli. Hakuna kisichokuwa na mipaka ila uaminifu.



Itavunja vifundo vya miguu kutembea kwako na Mungu.



*CSB, KJV, NASB, and The Message conclude Luke 11:13 with a question mark, while ESV, NIV, and NKJV use an exclamation mark for emphasis.



  


siku 2

Kuhusu Mpango huu

The Quest

Katika siku hizi 7 za kusoma na kujifunza, Beth Moore anatumia maswali kutoka katika Maandiko Matakatifu ili kukuongoza kwenye uhusiano wa ndani zaidi na Yeye anayekujua vizuri. Alama za uandishi zilizopotoka mwisho wa s...

More

Tungependa kumshukuru Beth Moore na LifeWay Women kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi tembelea: http://www.lifeway.com/thequest

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha