Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 04/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 04/2024

SIKU 1 YA 30

Siku hii ya pili ya sikukuu ya Pasaka ni siku ya kutembea na Yesu aliyefufuka. Sikukuu hii huambatana na utume wa Kristo Yesu anayewatuma akiwapa mamlaka wanafunzi kwenda kuipeleka Injili. Katika m.21 anawaambia,Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi. Kama alivyotangaza amani kwa waliokuwa na hofu baada ya kifo chake, hata siku hizi Yesu bado anatangaza amani kwa watu wote, hata kwa wale wanaolemewa na mizigo ya dhambi. Leo Yesu anajifunua kwako kwa kupitia Neno lake, akisema,Njoni kwangu, ninyi nyote msumbuakao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha(Mt 11:28). Fungua moyo wako ili aingie na kufanya matengenezo moyoni mwako.

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 04/2024

Soma Biblia Kila Siku 04/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa nne pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Hos...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha