Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Mifano ya YesuMfano

Mifano ya Yesu

SIKU 8 YA 9

Mfano Wa Msimamizi Mjanja


Yesu anatufunza katuwezi kutumikia bwana wawili. Hatuwezi kutumikia Mungu na pesa.

Swali 1: Kulingana na hadithi, unatakiwa kufanya nini na mali yako?

Swali 2: Yesu alimuita msimamizi mwenye akili kwa kutayarisha siku za usoni. Je, tunawezaje kuwa wenye busara kwa kujitayarisha kwa maisha ya milele?

Swali 3: Shida ya kutumikia mabwana wawili ni nini?

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Mifano ya Yesu

Yesu alitumia hadithi za vitendo na ubunifu kuelezea ufalme wa Mungu. Video fupi inaonyesha mojawapo ya mafundisho ya Yesu kwa kila siku ya mpango wa sehemu tisa.

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha