Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

SIKU 1 YA 31

Sura ya 18 na 19 zinatueleza habari ya mateso na kifo cha Yesu Kristo. Katika somo la leo twahitaji kutambuahiariya Yesu katika kwenda njia ya msalaba!Je! kikombe alichonipa Baba, mimi nisikinywee?(m.11). Kikombe alichompa Baba ni mateso na kifo. Ndivyo tunavyosoma katika Mt 26:39,Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe. Yuda alikuja na kikosi chenye nguvu ya kutosha, lakini Yesu alipojitambulisha wakakutana na nguvu ya kimungu. Wakaogopa na kuanguka chini (m.2-6). Yesu angeweza kuwashinda, lakiniakajitoa kwa hiari(m.7-8)!

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Oktoba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Oktoba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha