Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Hadithi ya PasakaMfano

Hadithi ya Pasaka

SIKU 2 YA 16

Chakula cha Mwisho




Yesu ala mlo wa mwisho wa jioni na wanafunzi wake.

Swali 1: Unafikiri ungefanya nini wakati Yesu aliposema mmoja wao angemsaliti? Je uko na

uwezo wa kumsaliti Yesu?

Swali 2: Kama ungelifahamu mapema kwamba kuna mtu angekusaliti, ungelimtendeaje mtu

yule? Linganisha hiyo na jinsi Yesu alivyomtendea Yuda.

Swali 3: Ni kwa nini inawezekana kwa Shetani kumuingia mfuasi wa Yesu na kumshawishi

kutenda dhambi mbaya?

siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Hadithi ya Pasaka

Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililo...

More

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha