Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

BibleProject | Kumwamini Mungu katika MatesoMfano

BibleProject | Kumwamini Mungu katika Mateso

SIKU 1 YA 6




Je, tunapaswa kufanya nini tunapoteseka bila kustahili? Je, Mungu hutujibu vipi? Je, Yeye ni mwenye busara na haki? Ni wa kuaminika? Tazama video hii kisha ufuate muongozo huu wa kusoma ili ushughulike na maswali haya na ufahamu jinsi kuamini hekima ya Mungu katika nyakati nzuri na mbaya kunaonekaje.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

BibleProject | Kumwamini Mungu katika Mateso

Je, tunawezaje kumwamini Mungu hata pale tunapoteseka bila kustahili? Jiunge nasi katika muongozo huu wa wa siku zita unaotazama simulizi ya Ayubu na ufahamu jinsi kuamini hekima ya Mungu kunaonekaje hata katika vipindi ...

More

Tungependa kushukuru shirika la BibleProject kwa kutoa mwongozo huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.bibleproject.com/swahili

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha