Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Silaha ya MunguMfano

The Armor of God

SIKU 5 YA 5

Tuliainishaimani kwa maana hii nyepesi: kutenda kama vile Mungu anakuambia ukweli. 



Ukweli ni bawaba ambayo suala ya maisha yaliyojaa imani yanakaa. Kama hujui kweli, hutaweza kuishi na kutenda kwa imani. Kwa hiyo ukweli wa tabia ya Mungu na neno lake linatupa mfumo unaoruhusu imani kukua na kustawi. 



Kweli ya Mungu ndiyo inayofanya kuwa na imani katika Mungu muhimu. Pasipo kweli, hatuna kitu imara cha kuweka ngao ya imani. Kwa hiyo kuijua kweli ya Mungu na kweli kuhusu Mungu kama ulivyofunuliwa katika neno lake ni muhimu kama tunataka kuishi kwa imani, na kupata faida ya kulindwa na ngao zetu. 



Majadiliano yoyote ya imani hayatakamilika pasipo kuelezea umuhimu mkubwa wa kusilikiza wazi wazi na kwa usahihi sauti ya Mungu. Kama hatuko makini, imani inaweza kugeuka kuwa upumbavu--Kutokuwa na busara, Kukosa msukumo, hata kutokuwa makini na hatari, tabia zinazofanywa kwa jina la imani. Lakini imani ya kweli lazima ijengwe hasa katika msingi wa neno la Mungu liloandikwa kama Roho wake atakavyokuongoza kulitumia katika maisha yako.



Unawezaje kuanisha tofauti kati ya imani na upumbavu? Ni nini kinachomzuia mtu kuvuka mpaka wa hayo mawili? Kama waamini, tuna bahati ya kujua mapenzi yake kwetu kadri tunavyokuwa waombaji kuutafuta. Atakuwa mwaminifu kutuonesha ukweli, atatupa maelekezo yake kwa hatua inayofuata. Ki ukweli, kuwa na uhakika na kuthibitishwa katika hatua inayofuata ni muhimu sana ili kutusaidia kubaki katika mzania tunapoishi maisha yanYolindwa na ngao ya imani.



Mara utakapojua wazi kweli ya Mungu au ahadi ya Mungu kuhusu jambo fulani, ni wakati wa kusonga mbele katika njia ambayo ni sanjari nalo. Sikiliza kwa makini--hisia zako haziwezi kuwa mwamuzi wa mwisho kwa matendo yako. Hisia hubadilika na zinafuata hali ya nje. Matendo yaliyofanywa kwa imani lazima yasimame katika kitu ambacho imara. Mungu wetu ni kweli na anastahili kumfuata. Siku zote yupo--akimuacha mbali sana shetani kwa nguvu--kusikiliza maombi yetu, akithibitisha ahadi zake za usiogope, na kutupa mwanga tunaohitaji ili kutembea kwa uhakika katika melekezo yake.



Huwakinga, askari. Tunaenenda kwa imani.



Ili kusoma zaidi, pamoja na mafundisho ya video ya Mwandishi Priscilla Shirer, tembelea lifeway.com/armorofgod.  






Andiko

siku 4

Kuhusu Mpango huu

The Armor of God

Kila siku, vita isiyoonekana inapiganwa kukuzunguka--haionekani, haisikiki, lakini bado unaihisi katika maisha yako yote. Adui wa kishetani aliyejitoa kuleta uharibifu kwa kila kitu muhimu kwako: moyo wako, akili yako, n...

More

Tungependa kuwashukuru Priscilla Shirer na LifeWay Christian Resources kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: www.lifeway.com

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha