Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Mpango Bora wa KusomaMfano

The Better Reading Plan

SIKU 10 YA 28

Unaanza vipi kuishi maisha ya uchache? Anza na methali ya tajiri mpumbavu katika Luka 12. Usijenge ghala kubwa kwa mambo yasiyo ya lazima katika maisha yako. Badala yake, tupa vitu kana kwamba uhai wako unategemea kitendo hicho. Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi na kuamini vitu visivyojalisha kwa sababu Mungu ana ahidi kukidhi maitaji yetu
siku 9siku 11

Kuhusu Mpango huu

The Better Reading Plan

unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema...

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha