Maelezo ya mpango
Badilika: Hatua zinazofuata kwa maisha yaliyobadilikaMfano
Kubadilishwa na Kristo inamaanisha unaelewa wewe ni nani ndani yake. Wewe ni mfuasi wake. Siku nne zijazo, utasoma katika Neno la Mungu, mfuasi ni nani na kuchunguza mambo mbalimbali wafuasi hufanya.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
uamuzi wako wa kumkubali Kristo kama mkombozi wako, umebadilishwa milele. Ya kale yameisha. Wewe ni kiumbe kipya. Haijalishi kuwa wewe ni mfuasi mpya wa Kristo au umekuwa ukimfuata kwa muda mrefu, Mpango huu utakusaidia ...
More
We would like to thank Life.Church for creating this plan. For more information, please visit: www.life.church