Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 10/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 10/2020

SIKU 2 YA 31

Kanisa au Wakristo wanapotumia mamlaka zisizo za kiroho katika kutatua migogoro yake, hupoteza ushuhuda wake wa kiinjili. Kazi ya kuhubiri Injili inaasilika na inamhusu Yesu Kristo. Katika Efe 6:13-18 imeelezwa ni vifaa gani alivyotupa Mungu kwa ajili ya kazi hiyo. Silaha kuu za Mkristo anayeshiriki vita vya kiroho ni maombi, imani, tumaini, upendo na Neno la Mungu. Hivi vyote huongozwa na Roho Mtakatifu. Nje ya silaha hizi hutokeza kiburi na mafarakano. Ombea kanisa lako ili lijazwe silaha hizi za kiroho.

siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 10/2020

Soma Biblia Kila Siku 10/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu....

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha