Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa MunguMfano

MWANGA  Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu

SIKU 3 YA 5

Je, Ni mambo gani Yesu Kristo aliyo yatoa, aka ahidi na kupeana?


Ni mambo gani Yesu Kristo anakupa wewe, kukufunza na kukuahidi kwenye maandiko haya? 


Ni kwa jinsi gani unaweza ukapokea mambo haya?



Andiko

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

MWANGA  Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu

Kila siku unaposoma, angazia, na utekeleze Neno la Mungu kwa maisha yako, utakuwa na uwezo zaidi wa kutambua miangaza bandia ya adui, bakia kwa njia iliyo angaziwa na Mungu, na ung’ae kwa mwangaza mkali kwa ajili ya Kris...

More

Tunapenda hushukuru NBS2GO na Rebecca Davie kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://nbs2go.com/index.php/swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha