Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Vitendo vya TobaMfano

Acts of Repentance

SIKU 2 YA 5

Je upo upande gani? Hilo ndilo swahili Kristo anauliza katika Luka 13:1-8 Je, upo katika upande wa kweli ama upande wa mabaya? Upande we kweli usababisha maisha ya milele, wakati upande wa mabaya usababisha uharibifu. Ujumbe wa Yesu ni rahisi: Yote unayohitaji kufanya ni kutubu dhambi zako ili kupata maisha mapya Usipotubu basi utatokomea. Mungu hana hamu ya kutupunguza ila anapenda na ana hamu yetu kuzaa matunda Kwa sasa, ni matunda gani unayozaa katika maisha yako Ni dhambi gani unayohitaji kutubu ili uanze kuzaa matunda yale Mungu anatamani?
siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Acts of Repentance

Toba ni moja ya hatua muhimu sote huchukua tunapokuja kumjua Yesu kristo kama mwongozi wa maisha yetu. Toba ni kitendo chetu na msamaha ni majibu ya Mungu kwetu kutokana na mapenzi yake kamili kwa ajili yetu. Ndani ya si...

More

We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha