Ufunuo 22:6
Ufunuo 22:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha malaika akaniambia, “Maneno haya ni ya kweli na ya kuaminika. Bwana Mungu ambaye huwapa manabii Roho wake, alimtuma malaika wake awaoneshe watumishi wake mambo ambayo lazima yatukie punde.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha akaniambia, Maneno haya ni amini na kweli. Naye Bwana, Mungu wa roho za manabii, alimtuma malaika wake kuwaonesha watumwa wake mambo ambayo hayana budi kuwako upesi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22