Ufunuo 22:11
Ufunuo 22:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22