Zaburi 91:8-9
Zaburi 91:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoadhibiwa. Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki. Kwa kuwa Wewe BWANA ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye Juu kuwa makao yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 91